MUNGU HALISI
MUNGU HALISI:NGUVU YA UWEPO NDANI YETU.
MUNGU HALISI
"Nguvu ya uwepo ndani yetu"
MUNGU HALISI ni kitabu cha kiroho na kifalsafa kinachomwalika msomaji kufanya safari ya kutoka kumtafuta Mungu nje yake na kulekea kugundua uwepo wa mungu ndani ya maisha yake.
kitabu kinachunguza maswali ya msingi kuhusu mungu na uumbaji kwa kutumia marejeo ya kiroho na maisha yetu ya kila siku,katika sura zake kinaelezea kwamba ufahamu,upendo,hekima na huruma ni njia ambazo mwanadamu anaweza kuonyesha uwepo wa mungu katika maisha ya kila siku.
Pia kinajadili uhusiano wa kati ya mungu na uumbaji,nguvu ya neno,safari ya kujitambua na umuhimu wa kuishi kwa amani na uhalisia wa ndani.
MUNGU HALISI ni mwaliko wa kutafakari kwa kina kuhusu maisha ,kuimarisha uhusiano na mungu kulingana na mtazamo wa kiroho na kifalsafa,na kujenga maisha yenye maana,hekima na upendo.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza