
Uzuri Na Uwezo Wa Mwanamke
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 29, 2025
Product Views:
7
Sample
Mwabamke ni nguzo ya jamii yote imara. Na nia nguko la jamii yoyote ikiwa hatosimama kwenye nafasi yake. Mwanamke ni kioo cha jamii, uwepo wake hutafsiri utulivu na amani mafanikio na furaha ya jamii.
Kitabu hiki kimeekeza kwa undani juu ya uziri wa kweli wa mwanamke, Asili yake, nguvu yake na wajibu nyuma ya mwanaume. Kimemuona mwanamke kama mtu anaye ishi zaidi na anapaswa kuwa na nguvu ya kipekee kutafsiri sababu ya kwanini awe na upendeleo huo.
Karibu...