Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nguzo 12 Za Uanafunzi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Nguzo 12 Za Uanafunzi

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 17, 2020
Product Views:
2,102
In category:
Sample

Namna ya Kuibua Thamani Ndani yako kupitia Mafunzo

Taifa lolote linalotaka kupata maendeleo ni lazima liweke kipaombele katika kujenga rasilimali watu bora sana ambo watatumika kuijenga nchi. Elimu ndio nguzo muhimu sana kwa taifa ili kupata watu bora.

Familia, jamii na hata watu binafsi wamekuwa wakijibidiisha katika kutafuta elimu na kufikia ngazi za juu sana lakini bado changamoto kubwa ni wahitimu hao kutokuajirika. Kuna watu wengi sana majumbani na mtaani kwetu pamoja  na kusoma bado hawana ajira. 

Hali hii ni kwa sababu wamesoma lakini wanakosa kuzijua Siri au Nguzo Muhimu sana katika kujipatia elimu.

Waandishi Adv. Isaack na Daniel Zake wanakufunilia Nguzo 12 muhimu za Uanafunzi katika ngazi yoyote ambazo ukizifuata zinaweza kukupatia nafasi yoyote unayohitaji ili kutoa mchango wako kwa jamii kitaaluma.

Waandishi wanaamini kupitia falsafa ndani ya kitabu hiki utagundua ya kuwa tatizo si ukosefu wa ajira ila watu bora na wenye uwezo wa kutatua matatizo ya jamii ndio wanakosekana.

Kitabu hiki ni mahsusi kwa wanafunzi ngazi ya sekondari, vyuo vya kati na vyuo vikuu, waalimu, wazazi au walezi na watu wote wenye nia ya kuleta mabadiliko juu ya mfumo wa kujifunza katika mataifa yetu ya Afrika.

Pata nakala yako kwa kuendelea kujifunza zaidi

More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

10,000 Tsh.
(0.8)

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold