Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Barua Ya Mkufunzi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

BARUA YA MKUFUNZI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 11, 2021
Product Views:
2,090
In category:
Sample

MBINU SABA ZA KUFANIKIWA KIUCHUMI UKIWA CHUONI BILA KUATHIRI RATIBA ZA MASOMO

Kitabu hiki kimeandikwa baada ya tafiti rasmi  za miaka miwili nilipobaini kuwa wanafunzi wa chuo wanaofanya biashara chuoni ndio wenye matokeo makubwa ukilinganisha na wale wasiofanya mambo mengine mbali na masomo.

Ndio nilipoamua kuandika Kitabu hiki kilicho katika mfumo wa masimulizi yenye lengo la kumpa msomaji namna anavyoweza kufanikiwa kiuchumi akiwa anaendelea na masomo yake kama kawaida bila kushusha GPA wala kusup...

 pia kitabu kimeweka wazi mbinu za kupata wazo bora la biashara litakalohusiana na mazingira ulionayo na pia kukupa namna ambavyo unaweza kubadilisha mazingira ulionayo kukupa pesa.

Kitabu kimeeleza namna unavyoweza kupangilia mambo yako kwa mfumo wa utoaji vipaumbele (prioritization) hali itakayoinua ufaulu wako na uchumi wako kiujumla.

Kitabu hakikuacha kutoka mpaka ya mfumo wa Maisha anaotakiwa kuuishi mtu mwenye lengo la kutaka kufanikiwa kiuchumi awapo chuoni ili kumuongezea nidhamu iliyo msingi mkuu wa mafanikio.

Baada ya kusoma kitabu hiki utatamani ungeyajua haya mapema lakini hata hivyo anza Sasa utafurahia baadae.

More Products On Discount
6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold
5,000 Tsh.

Sold by: Rehema Malekela

10,000 Tsh.
(2)

Sold by: MERINA DUGO

4,000 Tsh.

Sold by: HESHIMA JOHN

15,000 Tsh.
(1)

Sold by: Mr Zech

9,999 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga