Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Ifahamu Nguvu Ya Utajiri Ndani Yako - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

IFAHAMU NGUVU YA UTAJIRI NDANI YAKO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 03, 2026
Product Views:
7
In category:
Sample

Katika kitabu hiki, nimekiandaa mahsusi Ili kila mmoja kuwa na uelewa hususani kwenye masuala ya utajiri. Kwa kila kurasa zilizo beba funzo tangu ya kwanza mpaka ya mwisho, utaweza kuelewa kuhusu utajiri na kuanza kuwishi. Hapa nimeanza kuchambua utajiri toka kwenye wazo mpaka kwenye matokeo, hivyo twende sambamba pasipo haraka ili tufikie ndoto zetu. Zingatia utajiri unahitaji utulivu, nidhamu na kujifunza kila siku ili kupata matokeo mazuri, kwani utajiri ni mbegu inahitaji matunzo ili imee na kuzaa matunda mazuri.

Niwakati mwingine tena, kwanza natanguliza shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa kutajalia afya njema, pia kwa wazazi wangu na marafiki mbalimbali kwa ujumla wao mpaka kufanikisha kazi hii ambayo peke yangu nisingeweza kuikamilisha. Mwishoni, nikushukuru msomaji wangu kwa kuwa bega kwa bega katika kukuza tasnia yangu ya uwandishi.



More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
150,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold