MATOKEO YA MANENO UNAYOJITAMKIA
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 14, 2026
Product Views:
17
Sample
Maneno unayojitamkia yana nguvu kuliko maneno unayotamkiwa na watu wengine
KUPITIA KITABU HIKI UTAJUA : ni kwa namna gani maneno unayojitamkia wewe mwenyewe yana nguvu kuliko maneno unayotamkiwa na watu wengine.
Musa alijitahidi sana kuwatamkia na kuwaombea mema wana wa Israeli. Mungu pia aliwawazia mema wana wa Israeli, lakini wao wana wa Israeli walijitamkia maneno yasiyofaa na hivyo walikula matunda ya maneno yao. Walifia jangwani na kifo chao hakikuwa mpango wa Mungu. Mpango wa Mungu juu yao ilikuwa kuwafikisha katika nchi iliyojaa maziwa na asali