Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mayai Matatu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

MAYAI MATATU

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 15, 2026
Product Views:
6
In category:
Sample

Mama Tausi

Hadithi ya MAYAI MATATU ilizaliwa msituni  katikati ya milima, mabonde, vijito na mafuriko ya maji.

Wasomaji ngazi ya msingi na Watoto wote, Wanajifunze kupitia ndege  kama Njiwa, Bata Mzinga, Khanga, Kasuku, Mbayuwayu, Heroe, batamaji, Korongo,Kunguru, Tai (Mjuaji).

Mwewe, Popo, Bundi, Mbuni(ndege mkubwa), baba na mama Tausi.

Kila ndege anawakilisha tabia zetu sisi wasomaji.

Maringo huleta shida, Unyenyekevu huleta furaha.

1.Kurasa zaidi ya 40.(kurasa za mapumziko -Break time).

2. Picha zaidi ya 44 za rangi nzuri.(LED,HD)

3. Hadithi Pana na Ujumbe mzuri.

4. Kwa watoto miaka 4-10.

Watoto Wote,Hii ni zawadi yenu. Kimbunga kinaweza kubeba mali zetu lakini kwa umoja, ushirikiano na unyenyekevu mtazipata tena.

UJUMBE:upendo, uaminifu, maadili, ushirikiano na athari za mafuriko. 


UMUHIMU wa kitabu :Watoto watafahamu ndege warukao na wasioruka kwa majina, SIFA, picha na maumbile. 

Hata ndege wafugwao na wasiofugwa watawafahamu kwa uzuri, mvuto na tabia. 

Vilevile watoto watafahamu ndege waliwao na wasioliwa, ndege wa msituni na wasio wa msituni kwa upekee na muonekano.

Mafuriko ya maji yanaweza kutukusanya karibu na kutafuta suluhisho kwa pamoja kama Batamzinga na Heroe walivyotumia miguu yao mirefu.


Tutumie maneno matatu yenye nguvu:

"NAOMBA - MNISAMEHE - ASANTENI!!"


Imeandikwa Na.Jerry Micael.

Toleo la kwanza. 2026


More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold