NYAKATI
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 29, 2021
Product Views:
3,047
Sample
Kila Jambo Lina wakati wake,Ila NYAKATI hizi hupita na kutuachia kumbukumbu nyingi za maisha.Nia Nelson binti msomi na mrembo haswaa,NYAKATI zake zinajaa huzuni vilio na simanzi nyingi tangu alipo kuwa binti mdogo mpaka sasa akiwa mama na mke.maisha ambayo yanamfanya kuwa jasiri na mahili WA kupambania kilicho chake.rnAkiwa katikati ya safari ya mafanikio,serikali inamtuma kazi kwenye kazi ya Siri inayopelekea kwenye vifo vya wapendwa wake. Zinakua NYAKATI ngumu mno kwake kuamua ni lipi atekeleze.rnFuatilia/soma kurasa hizi Mia mbili ishirini za muandishi kujua undani wa simulizi hii yenye kusisimua haswa.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza