Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Siri Za Uhakika Wa Ushindi Katika Vita Ya Kiroho - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

SIRI ZA UHAKIKA WA USHINDI KATIKA VITA YA KIROHO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 22, 2025
Product Views:
12
In category:
Sample

Na Jinsi Inavyowatesa Watu Wengi.

Mungu aliupenda sana ulimwengu hata akaamua kumtoa mwana wake wa pekee YESU KRISTO kama dhmana ya dhambi zetu sisi wanadamu hili tupone, lakini mpango huu wa Mungu umekuwa ukipingwa na Ibilisi shetani usitimie kwenye maisha ya watu wengi hasa wakristo na kanisa pia.

Hivyo shetani amekuwa anashambulia kwa njia mbali mbali mpango huo hapa duniani kwa kutimia.Ukweli ni kuwa vita ya kiroho ni nguvu za giza chini ya shetani na washirika wake dhidi ya nguvu za nuru chini ya Yesu Kristo.

Pamoja na ukweli huo wa mashambulizi ya shetani yanayokuja kwa njia mbali mbali lakini Mungu amewapa watu wake hasa wakristo silaha nyingi za kumshambulia na kujilinga dhidi mashambulizi ya shetani. Sasa changamoto kwa wakristo wengi sio mashambulizi ya shetani bali ufahamu na uelewa wa vita hii, silaha mbali mbali na namna ya kuzitumia kujilinda.

Kitabu hiki kimeweka nuru na dira kwa kila mtu hasa mkristo mwenye nia ya kutaka kujifunza na kuzijua siri hizi za mapigano ya vita za kiroho ili waweze kujitegemea katika mapambano mbali mbali dhidi ya shetani na majeshi yake.


HIVYO BASI...


Kitabu hiki kinampatia mtu yoyote yule hasa mkristo kuwa na ufahamu wenye utayari wa namna ya kumjua adui katika ulimwengu wa roho, nadharia pana zaidi ya vita ya kiroho, mikakati ya mashambulizi ya shetani, utambuzi wa silaha zinazohitajika kutumika katika vita ya kiroho na siri nyingi za uhakika wa ushindi katika vita ya kiroho. 





More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

30,000 Tsh. 20,000 Tsh.

Sold by: Lackson Tungaraza

Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold