Ukombozi Wa Fikra Za Mwafrika
Price:
8,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 28, 2022
Product Views:
3,221
Sample
Kitabu hiki kitakusaidia kujua asili ya Afrika nguvu tulizonazo na ukuu tuliojaaliwa na Mwenyezi Mungu aidha utafahamu uongo na uovu wa wazungu katika kutudidimiza na kuteketeza asili yetu mwisho utafahamu namna gani tunaweza kurudi katika asili yetu.
Bara la Afrika ni bara pekee Duniani ambalo tumejaaliwa vitu mbalimbali vya thamani ikiwemo madini ya kila aina, vivutio mbalimbali vya utalii, vyanzo mbalimbali vya maji, ardhi yenye rutuba n.k lakini bado tunaendelea kuwa maskini. Hatuwezi kuibadilisha Afrika yetu pasipo kubadilisha fikra zetu.