UZA BEI KUBWA KWA UJASIRI
UZA BEI KUBWA KWA UJASIRI ni kitabu kinachotoa ujuzi na Mbinu za kuuza bidhaa au huduma za bei Kubwa.Kitabu hiki ni muongozo wa kubadili wauliziaji kuwa wateja wanaolipia .Pia kinatoa njia bora za Kukabili vipimgamizi vya wateja.
UZA BEI KUBWA KWA UJASIRI ni kitabu kinachokupa ujuzi, mbinu za kuuza bidhaa za bei kubwa bila kumlazimisha mteja.
Kinakupa mbinu za kutambua wauliziaji na wanunuzi,pia kinakupa mbinu za kuwasilisha OFA yako,Kukabili vipimgamizi vya wateja,na matumizi ya akili mnemba ( AI) kurahisisha ufungaji wa mauzo kwa njia za Hiki ni kitabu cha vitendo.Ukikisoma na ukafanyia kazi, Utapata matokeo ndani ya muda mfupi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza