• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mwongozo Wa Kufaulu Darasani - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

MWONGOZO WA KUFAULU DARASANI

Ratings

Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
May 13, 2021
In category:
Sample

Nilipotumia kanuni hizi 2003 kwenye matokeo ya mtihani wa taifa darasa la saba iliniwezesha kuwa mtu wa pili katika wilaya .Nilipotumia mbinu hizi mwaka 2007 nikiwa kidato cha nne pale sekondari ya Kantalamba iliyoko Sumbawanga zilinifanya kuwa mwanafunzi bora darasani na matokeo ya mwisho nikapata daraja la kwanza(Division one) na nikafanikiwa kuchaguliwa katika shule ya sekondari ya Pugu ambayo ina historia kubwa ya kutoa viongozi wakubwa wa nchi na baadaye nikajiunga na chuo kikuu cha Dar es salaam ambacho ni moja ya vyuo vikuu bora katika bara la Africa

Shule unayosoma haiwezi kukufanya wewe ufeli mtihani. Kufeli au kufaulu hakutegemei wewe unasoma shule gani, unatoka familia gani au kabila gani bali inategemea juhudi za mwanafunzi binafsi. 

Other products from this category