• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Siri Mpya Za Brand Zinazouza Zaidi Popote. - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

SIRI MPYA ZA BRAND ZINAZOUZA ZAIDI POPOTE.

Ratings

Price:
19,999 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Aug 28, 2021
In category:
Sample

Jifunze Jinsi Ya Kujulikana,Kuaminika na Kukubalika Kwa Wateja Wako. Jifunze Jinsi Ya Kujitenga Kutoka Kwa Washindani Wako,Kuuza Zaidi Kwa bei ya Juu na Kutawala Soko Lako.

Unataka KUJENGA BRAND Yako WEWE na Biashara Yako?

....

Unataka Kuongeza Mauzo Yako Mara MBILI au mara TATU-katika Soko Lolote.?

....

Unataka Kuongeza THAMANI Yako Sokoni Ili ULIPWE Zaidi?

....

Madhumuni ya kitabu hiki ni kukupa mfululizo wa Siri, mbinu, mikakati, na maoni mapya ambayo unaweza kutumia mara moja kuongeza mauzo zaidi, haraka na rahisi kuliko hapo awali Pamoja na kujenga BRAND imara katika Biashara yako.

....

 Mtaalamu wa BRAND na MAUZO Mwl.Benjamin Madaha ameona Mbinu hizi Mpya zikisaidia watu wengi kama wewe kufanikiwa zaidi katika biashara zao. Wengine wamekuwa mamilionea kama matokeo ya kusikiliza na kutumia maoni yake .

...

Kila kitu kimedhibitishwa kufanya Kazi.

Soma na tumia Siri hizo mpya zisipokusaidia uvyotaka Piga Simu 0693002736 kurudishiwa PESA yako Yote.Huna cha Kupoteza na Kitabu Unabaki nacho.

....

Hakuna Swali lolote utakaloulizwa.

....

UTAJUTIA saana! Kuchelewa Kusoma Kitabu hiki miaka 6 iliyopita.

Nikutakie usomaji mwema na mafanikio tele.

...

Kabla sijasahau Ukishamaliza KUNUNUA kitabu chako nitafute WhatsApp kwa 0693002736 kuingizwa Katika Darasa au Course maalumu ya " BRAND" Bure Kabisa Miaka yote na utauliza maswali yako huko na kupewa Msaada Miaka yote.

I VALUE YOU

Other products from this category