
ANZA SAFARI YA MUZIKI
NADHARIA YA MUZIKI HATUA YA KWANZA
Kitabu kimeandaliwa kwa lengornkubwa la kuwapatia msingi bora na imara wale wote wanaotamani kujifunza muzikirnhatua kwa hatua. Mwandishi anaamini kuwa, ili upate msingi mzuri wa kiturnfulani, huna budi kujifunza kitu hicho kwa mtiritiko ulio sahihi ili uwezernkupata msingi bora na imara.
Pamoja na lengo larnkutoa msingi bora kwa hatua ya kwanza, kitabu hiki kimesheheni mambo yoternmuhimu kwa anayejifunza muziki hatua ya kwanza, pia kitamuongoza mwalimurnkuwafundisha wanafunzi wake kwa urahisi kwa sababu mwandishi ametumia uwezornwake na elimu aliyonayo katika tasnia ya muziki kuhakikisha anakiandika kitaburnhiki kwa lugha nyepesi kabisa inayoelewekarnvizuri. Ndani ya kitabu hiki, kuna mifano mingi kwa kila sura na mazoezi mengirnambayo yatamsaidia mwanafunzi kufikia lengo lake na ndoto yake katika tasnia yarnmuziki.