Atashukuru Au Atalaumu
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 19, 2026
Product Views:
12
Sample
Je, mtoto wako atakushukuru au atakuhukumu mwaka 2040? Lipia na usome Mwongozo huu wa Wazazi mtandaoni sasa hivi ili kumlinda dhidi ya uharibifu wa simu na TV kipindi hiki cha likizo!
Kizimbani Mwaka 2040: Je, mtoto wako atakushukuru kwa malezi ya likizo, au atakulaumu?
Shule zikifungwa, uhalifu wa kupoteza maadili ya watoto unaanza rasmi nyumbani kupitia simu na TV. Usiruhusu likizo hii ibomoe uwekezaji uliompa kwa gharama kubwa!
Mlinde mtoto wako leo:
- Soma Mtandaoni Sasa: Lipia na uanze kusoma mwongozo huu sekunde chache zijazo moja kwa moja kwenye simu yako.
- Mbinu za Siri: Jinsi ya kumlinda mtoto dhidi ya mitego ya mitandao na kumfanya awajibike nyumbani bila kelele.
Hukumu iko mikononi mwako! Bofya link hapa chini kununua na kusoma Kitabu cha Mwongozo kwa Wazazi mtandaoni sasa hivi kabla wakati haujapita!
Sold by: Godius Rweyongeza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza