Hekima 64 Za Kuongoza Maisha Yako Kila Siku
Price:
6,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 19, 2024
Product Views:
124
Sample
Ishi kwa hekima, ubadilishe maisha yako
Kitabu hiki kinahusu maneno ya hekima yenye kutia moyo na kukupa nguvu ya kuishi na kubadilisha mtazamo wako wa jinsi unavyoyachukulia maisha na kukupa mwanzo mpya wa jinsi ya kuishi kwa mtazamo na fikra chanya na watu wanaokuzunguka katika mazingira unayoishi, unayofanyia kazi, biashara, masomo (shuleni au chuoni), n.k.