BUSTANI YA KIPEPEO
Price:
4,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 14, 2026
Product Views:
7
Sample
SHANGWE-kipepeo
BUSTANI YA KIPEPEO
Katika bustani nzuri ya Shangwe (Kipepeo) mwenye furaha, kuna mafunzo makubwa.
Shangwe (Kipepeo) na marafiki zake Njiwa, Kasuku, Nyuki (mfanyakazi hodari)na Kinyonga (mgeni) wanatueleza jinsi maua, maji na hewa safi vinavyotupa chakula, furaha na Afya.
UJUMBE Mahsusi: TUNZA MAZINGIRA
Bustani hutunza mazingira, maua hupendezesha mazingira. Maji ni uhai, maua ni chanzo cha chakula(dawa) na asali ni zawadi yetu toka kwa Nyuki (Mtengenezaji hodari).
Wahusika: Shangwe (Kipepeo), Nyuki (Mfanyakazi), Njiwa, Kasuku na Kinyonga(mgeni)
Elimu kwa watoto umuhimu wa kutunza mazingira, upendo na ushirikiano.
(watoto wa miaka 3-8)
Na: Jerry Micael.