Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nifanye Nini Niwe Ibrahim Wa Vizazi Vyangu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Nifanye Nini Niwe Ibrahim Wa Vizazi Vyangu

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 17, 2021
Product Views:
2,216
In category:
Sample

Siri kumi zilizoleta baraka na mafanikio katika maisha ya ibrahim

Ibrahim alitokea katika familia iliyokuwa ikiabudu miungu,lakini pia uwezo wao kiuchumi ulikuwa wa kawaida sana.

Ibrahim alipoitwa na Mungu alikubali wito ,na huo ulikuwa mwanzo wa kubadili historia yake ,ya familia yake na vizazi vilivyofuata baada yake. Ibrahim alibarikiwa na kufanikiwa sana kiasi kwamba baraka nyingine zilizotamkwa juu yake zilivinufaisha vizazi vilivyofuata.

Nilifuatilia historia yake niligundua kuna siri zilizoleta baraka na mafanikio makubwa  kwenye maisha yake.

Yawezekana historia yako na familia yako ni mbaya sana kiasi kwamba huna tumaini ndani yako la kubadili historia hiyo. Lakini nina ujasiri wa kusema siri zile kumi zilozoleta baraka  na mafanikio kwa ibrahim zinaweza kuleta na kwako pia.

Kama utajidhatiti kuzisoma na kuziweka siri hizi kumi katika matendo uwe na uhakika historia yako na ya vizazi vijavyo itabadilika.

Hivyo kitabu hiki ni kwa ajili ya ambao wa kiu ya kubadili hiatoria zao,za familia zao na za vizazi vyao.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold