Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Healing Journey Safari Ya Uponyaji Wa Ndani - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Healing Journey_Safari Ya Uponyaji Wa Ndani

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 11, 2026
Product Views:
4
In category:
Sample

Healing Journey ni kitabu kinachokuongoza katika safari ya kujitambua, kupona majeraha ya ndani, kujikubali na kurejesha amani ya moyo. Ni mwongozo wa kujifunza kujithamini, kuweka mipaka na kuanza upya baada ya kupitia changamoto za maisha na mahusiano.

HEALING JOURNEY – SAFARI YA UPONYAJI WA NDANI

Je, umewahi kujikuta ukibeba maumivu ya moyo kwa muda mrefu kutokana na mambo uliyopitia katika maisha au mahusiano?

Je, umewahi kujilaumu kwa makosa ya wengine, kupoteza amani yako au kujisahau kwa sababu ya kuwajali watu wengine?

Kitabu hiki kimeandaliwa kukusaidia kuelewa safari ya uponyaji wa ndani na umuhimu wa kujitambua.

Ndani yake utajifunza:

- Kuelewa maumivu ya ndani na chanzo chake.

- Kuacha kujilaumu kwa makosa ya wengine.

- Kujithamini na kujikubali.

- Kuweka mipaka yenye afya.

- Kurejesha amani ya moyo.

- Kuanza safari mpya ya kujijenga.


Mwandishi: Madam Angel

Author & Life Experience Educator

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold