Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Hekima Za Mkosaji Na Mkosoaji - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

HEKIMA ZA MKOSAJI NA MKOSOAJI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 07, 2026
Product Views:
79
In category:
Sample

Hekima za Mkosaji na Mkosoaji, ni kitabu kilichobeba maudhi yenye kufikirisha kwa kila mwanadamu ambaye ndani ya nafsi yake anatambua ni mkosaji,lakini anatambua fika yeye pia ni mkosoaji.rnHivyo kila anachofanya kuna wakati huwa ni sahihi na kuna nyakati si sahihi,ila kwakuwa ni matendo ya fikra zake,hanabudi kuziamini na kusimamia..rnNdani ya kitabu hiki utasoma nukuu kadhaa za kanuni za maisha kwa tafsiri na taswira aionayo mwandishi, na visa vya mkosaji na mkosoaji.


Kwakuwa mimi si mwema,si mtiifu,si mkweli wala si muaminifu,hata ninachowaza na kuniweka njia panda sio HEKIMA zangu,ni ujinga wangu..hakika MIMI ni MKOSAJI na MKOSOAJI.ila chukua dakika zako kadhaa kupitia hizi HEKIMA ZA MKOSAJI NA MKOSOAJI utanielewa vyema nachomaanisha.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
150,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold