Je! Ni Kawaida Au Si Kawaida?
Kitabu hiki kinaelezea juu ya dalili za kawaida na jinsi ya kukabiliana nazo na zile ambazo si za kawaida ili kujua ni muda gani wa kutafuta msaada na kukimbilia hospitali.
Kitabu hiki kina muongozo muhimu kwa kila mama mjamzito anayehitaji kuelewa mabadiliko ya mwili wake katika kipindi cha ujauzito.
Ndani ya kitabu hiki utajifunza kutofautisha dalili za kawaida na dalili hatarishi, kujua ni wakati gani wa kuchukua hatua, na jinsi ya kujitunza ili kulinda afya yako na mtoto tumboni.
kimeandaliwa kwa lugha rahisi ya kiswahili ili kumpa mama mjamzito uelewa, utulivu wa akili, ujasiri wa kufanya maamuzi sahihi kwa usalama wake na wa mtoto.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza