.jpg)
MBINU ZA KUKABILIANA NA TATIZO LA UPUNGUFU WA WEKUNDU WA DAMU ANAEMIA
Jione mwenye bahati kupata nakala ya kitabu hiki
Ukisoma kitabu hiki hadi mwisho utaweza kujifunza yafuatayo:-
Faida za kupima wingi wa wekundu wa damu kabla ya kuoa au kuolewa na kabla mama hajaamua kushika mimba
Chanzo cha upungufu wa wekundu wa damu
Mila na desturi zinazoweza kusababisha upungufu wa wekundu wa damu
Umuhimu wa lishe bora kwa vijana balehe
Athari za upungufu wa wekundu wa damu kiafya, kiuchumi,kisaikolojia na kijamii
Makundi ya watu walio hatarini kupata tatizo la upungufu wa wekundu wa damu
Ugonjwa wa selimundu/siko seli na jinsi ya kukabiliana nao
Jinsi ya kutofautisha dalili za upungufu wa wekundu wa damu na dalili za magonjwa mengine
Aina ya vyakula vinavyoongeza haraka wekundu wa damu
Mbinu, Majukumu na wajibu wa familia katika kupambana na upungufu wa wekundu wa damu
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza