
JIFUNZE MBINU ZA KUSOMA NA KUFAULU MTIHANI WAKO WA TAIFA
Je wewe ni mzazi na unahitaji mwanao afaulu mtihani wake wa taifa? Je wewe ni mwanafunzi unahitaji ujifunze mbinu za kusoma na kufaulu mtihani wako wa taifa? Hiki kitabu si cha kukosa
Wazazi wengi huwapeleka watoto wao katika shule za kutwa rnama za bweni za serikali ama binafsi kulingana na hali ya rnuchumi walionao na sifa za shule bila kufahamu uelewa rnwa watoto wao.Tena watoto hao hupewa vitendea kazi pamoja na sale rnza shule kwa ajili kujisomea vizuri pindi wawapo shuleni au rnnyumbani.Hayo yote ni kwa sababu wazazi wanapenda watoto wao rnwasome bila bugudha yoyote na mwisho wa siku wafanikiwe katika rn kusoma na kujifunza masomo yao ili waweze kufaulu vizuri mitihani rnyao hususani ya kitaifa. rn Wazazi wengine wanapowafikisha watoto wao shule au chuo rnhuamini kuwa hawana jukumu jingine la kufuatilia maendeleo ya rnwatoto wao.Wanaamini ya kwamba waalimu pekee wataweza rnkuwasaidia watoto wao kitaaluma ama na kinidhamu pia wanapokuwa rnshuleni au chuoni hapo.Kwa hakika hilo ni kosa kubwa tunaloweza rnkulifanya kama wazazi au walezi.Jambo jingine ambalo wazazi wengi rntunaweza kulifanya ni pale tunaposahau kuwapa mwongozo wa jinsi rnya kupangilia ratiba yao ya masomo na namna gani wasome ili rnwaweze kuhamisha wanachokisoma kutoka kwenye daftari au kitabu rnkwenda kichwani. rn Wapo wanafunzi wengi ambao wanasoma sana lakini matokeo rnyakitoka hawatamani rafiki au hata wazazi wao wajue kile rnwalichopata au wanafanya vizuri darasani na mitihani ya kawaida rnlakini inapofika muda wa kufanya mitihani ya mwisho kama vile ya rnwilaya au mkoa na taifa wanashindwa mitihani hiyo mpaka wanahisi rnwamefanyiwa hila au wamelogwa! rn Tatizo la hofu, wasiwasi na kuchanganyikiwa kwa muda kwa rnwanafunzi darasani au wakati wa mitihani, ni tatizo linalochangia rnkuathiri kitaaluma kwa wanafunzi wengi leo.Katika kitabu cha Helping students Overcome Social anxiety, Mwandishi Carrie Maria rnWarner na wenzake.Why should school invest in treating Social rnanxiety? uk 10 wameandika“Tatizo la hofu, wasiwasi na rnkuchanganyikiwa kwa wanafunzi lina athari kubwa katika maendeleo rnyao kitaaluma” rn Wapo wanafunzi hujawa na hofu, wasiwasi na huchanganyikiwa rnkwa muda wanapokuwa wakifundishwa darasani, wanaposhiriki na rnwenzao kwenye mijadala na katika uwasilishaji wa hoja kwa wenzao, rnambapo wengi wao hushindwa kuuliza swali/maswali ili wasaidiwe rnau kujibu swali/maswali darasani na wengine hujawa na hofu, rnwasiwasi na kuchanganyikiwa kwa muda zaidi mara wanapoingia rnkwenye chumba cha mitihani kiasi kwamba hupelekea kutojua nini rncha kufanya baada ya mtihani kuanza; kupoteza kumbukumbu kwa rnkiwango kikubwa na kutoelewa hata swali la kawaida na mambo rnmengine kama hayo. rn Haijalishi wewe ni mwanafunzi wa shule ya hadhi gani au unarudia rnmtihani au wewe ni mtahiniwa wa kujitegemea (Private Candidate), rnKitabu hiki kipo kumsaidia mwanafunzi/mwanachuo nini cha kusoma, rnwakati gani wa kusoma, unasomea wapi, nani wa kusoma naye yaani rnkuelewa namna nzuri ya kujisomea pasipo kutumia muda mwingi wa rnkukariri.Kinatoa mwongozo kwa mwanafunzi namna ya kusoma na rnkufaulu mitihani yake vizuri, na kina mwandaa kufaulu kwa kiwango rnkikubwa hususani mitihani ya kitaifa. rn Ukosefu wa ajira ni moja ya changamoto kubwa zinazowakabili rnvijana kote duniani, hasa katika nchi zinazoendelea. Nchi nyingi rnzinakosa nafasi za ajira za kutosha kutokana na ongezeko kubwa la rnvijana wanaomaliza masomo kila mwaka. Hali hii husababisha vijana rnwengi kubaki bila ajira, jambo linalowaweka katika hatari ya kukosa mapato na kujikuta wakiathirika kisaikolojia.
Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa maisha kwa vijana baada ya rnkumaliza mtihani wao wa taifa, maisha nje ya maisha ya shule au rnchuo ili kumsaidia kijana jinsi ya kukabiliana na changamoto ya rnukosefu wa ajira ili aweze kutimiza malengo yake na kujenga uchumi rnwa taifa lake.Mashauri yaliyoandikwa ndani ya kitabu hiki rnyanamwaandaa pia mwanafunzi kuwa raia mwema katika jamii na rntaifa lake kwa ujumla baada ya kumaliza masomo yake.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza