
TEKNOLOJIA NA AFYA ZETU
Kitabu hiki ni zawadi kwa wale wote wanaotumia teknolojia ya aina yoyote.Kimekusudia kuchambua kwa kina jinsi teknolojia inavyoathiri maeneo haya ya afya kimwili, kiakili, kijamii, na kiroho kwa upande chanya na hasi.Ni hasara kwako wewe mtumiaji wa teknolojia kukosa kitabu hiki.
Katika karne hii ya ishirini na moja, teknolojia imekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa kiwango kisichoepukika.Kutoka kwenye mawasiliano ya simu janja hadi vifaa vya kisasa vya hospitali, kutoka mitandao ya kijamii hadi mashine za kufanyia kazi viwandani.Teknolojia imepenya kila sekta ya maisha yetu.Ingawa maendeleo haya yameleta urahisi, ufanisi na kasi katika shughuli mbalimbali, yameibua pia changamoto mpya zinazogusa moja kwa moja afya ya binadamu katika vipengele vyake vinne vikuu: afya ya kimwili, ya kiakili, ya kijamii na ya kiroho.
Kitabu hiki kimeandikwa kwa lengo la kuchambua kwa kina jinsi teknolojia inavyoathiri maeneo haya ya afya kwa upande chanya na hasi.
Jipatie nakala yako sasa
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza