
Hewa Safi Na Afya Yangu
Uzuri wa kitabu hiki kimeandaliwa Kwa kuzingatia mbinu za kisasa za kufundishia watoto ili wasichoke kukusikiliza.Kina simulizi za kuvutia na mafundisho KUHUSU Hewa safi na afya yangu
Kitabu hiki kizuri jinsi kilivyoandaliwa kinaweza kutumika pia kutengeneza video fupi za kuanzia dakika 15 hadi 20 kufundishia watoto.Unachotakiwa kuzingatia ili utengeneze video fupi Kwa mjibubu WA jinsi kilivyoandaliwa unatakiwa Uzingatie Maelekezo yaliyotolewa ili video utakayoitoa iwe na mvuto wa Kila mtoto na mafundisho yake yalete ufanisi mkubwa.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Chikanda Medical Publisher
Sold by: Chikanda Medical Publisher
Sold by: Chikanda Medical Publisher