
ZIJUE MBINU ZA KUEPUKA KUUGUA MAGONJWA MARA KWA MARA
Jione mwenye bahati kupata nakala ya kitabu hiki
Tunaishi katika dunia iliyojaa magonjwa.Magonjwa ya kuambukiza na magonjwa yasiyo ya kuambukiza yamekuwa ni sehemu ya maisha ya watu wa kizazi hiki.Kila siku wanasayansi na watafiti wengi wa masuala ya afya na magonjwa wanazidi kufanya uchunguzi jinsi gani wanaweza kukabliliana na kile kiitwacho magonjwa.
Mamia na maelfu ya watu wanazunguka huku na huko kutafuta msaada wa kiafya dhidi ya magonjwa yanayowakabili.Wapo ambao kila siku ili maisha yao yaendelee ni lazima watumie dawa. Mbaya zaidi hakuna mwelekeo wa kupungua foleni ya wagonjwa wanaongoja kupata ushauri na matibabu sahihi toka kwa daktari.
Haijalishi hali yako ya maisha ikoje, utajiri, mali, elimu au madaraka linapoibuka suala la ugonjwa, hofu, mashaka na kukata tamaa kunaongezeka! Ajabu ni hii hakuna mstari uliochorwa miongoni mwetu kuonyesha mtu huyu yuko salama katika hili.Ndiyo maana ni muhimu kila mmoja wetu ajifunze Mbinu Za Kuepuka Kuugua Magonjwa Mara Kwa Mara.
Kupata hardcopy ya kitabu hiki ni TSh 12,000/= Kisha tuma SMS/Piga 0686279021 ya muamala wako wa Malipo Jina Lubango Lucas Chikanda kitakufikia huko uliko kwa uaminifu mkubwa.Nauri ya kusafirisha kitabu hiki kwa hapa Tanzania ni juu yangu.Mungu akubariki