Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Ugonjwa Wa Korona 666 Na Ulimwengu Mpya Wa Kisayansi1 - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

UGONJWA WA KORONA, 666 NA ULIMWENGU MPYA WA KISAYANSI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
8,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 05, 2021
Product Views:
2,268
In category:
Sample

KITABU HIKI KINAHUSU UKWELI MZITO KUHUSU UGONJWA WA KORONA, 666,CHANJO YA KORONA, ULIMWENGU WA KIDIJITALI NA KUELEKEA ZAMA ZA AKILI BANDIA.

Mambo yanayotokea katika ulimwengu wetu wa leo hatuna budi kuyafikiria sana kwani kila mahali ulimwenguni tunaona ghasia na misukosuko pamoja na milipuko ya magonjwa ya kutisha kama huu ugonjwa ulioibuka hivi karibuni yaani korona [uviko 19/covid 19] bahari, maziwa na mito kuchafuliwa, miti inaangamizwa, mabadiliko makubwa ya hali ya hewa [climatic change] na watu maelfu kwa maelfu kukimbia nchi zao ili kuondokana na hatari, maafa, njaa, vita na vifo. Si ajabu kwamba watu wale wanaoaminiwa kuwa manabii waliyatabiri mambo hayo yote kama vile mtume petro alivyosema ‘’nasi tunalo lile neno la unabii lililo imara zaidi ambalo mkiliangalia kama taa ing’aayo mahali penye giza mwafanya vema [2 Peter 1; 19] Edson mkonge mwandishi wa kitabu hiki amezungumzia masuala yahusuyo imani, kuhusu matukio yanayoendelea hivi sasa ulimwenguni hasa ugonjwa wa korona na kuelekea ulimwengu wa kidijitali. Kile ambacho mungu amesema katika maandiko matakatifu ya manabii wake, kwani wakati ujao unatisha na kukatisha tamaa, lakini liko tumaini Kwa wanaomwamini Mungu na maandiko yake. Matumaini hayo ya maisha bora, yenye amani na raha yang’aa mioyoni mwao watakaokisoma kitabu hiki.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold