Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kiboko Ya Jino - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Kiboko Ya Jino

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,999 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 25, 2023
Product Views:
352
In category:
Sample

Ni makala inayoelezea juu ya tiba mbadala ya jino. Kuanzia kulinda meno na dawa gani utumie ili kuponya kabisa maumivu ya jino.

Nakumbuka nilipokua mdogo miaka 9 nikiwa shule ya msingi swala la kula Nyama, Vitu vigumu, vyenye Ubaridi mwingi pamoja na vya Sukari nyingi ilikua ni ndoto.

Basi hali ile nilishindwa kabisa kuizoea. Nafikiri utakua unajiuliza kwanini nilikua siri vitu hivyo. Nitakujuza sekunde moja ijayo.

Sababu ilikua ni ugonjwa wa Jino....

Basi bwana baada ya mateso mengi siku moja baada ya kuamka nikiwa nimevimba mashavu na maumivu makali wazazi wangu waliamua kufanya utaratibu wa kunipeleka hospital kwa matibabu zaidi. 

Siku fichi siku hiyo ndio niliumia zaidi kwani mama alikua amepika wali na nyama ya mbuzi.

Kiufupi nyama ya mbuzi nilikua naipenda sana ila siku hiyo sikuweza hata kula kipande kimoja cha finyango laini.

Basi bwana jioni mida ya saa 10 wakanipeleka hospital unajua nini kilitokea, usijali nitakwambia.

Daktari baada ya kumsikiliza mzazi wangu waliamua kuning'oa Jino.

Daaaaa nilihisi kifo kimekaribia ila nikajikaza litakalo kuwa na liwe.

Licha ya maumivu machache niliyobaki nayo ilikua na msaada kwangu kwani siku 3 mbele niliweza kurudia hali yangu ya mwanzo.

Aaaaaah nakumbuka siku hiyo mama alisema mwanangu najua umezimisi nyama sana basi bakuri hili anza nazo.

Daa lilikua limejaa finyango zilizonona nami nkazitandika yani kama nilikua nalipa kisasi vile.

Furaha ilizidi kutawala zaidi na zaidi na siku zikazidi kusonga mbele.

Nakumbuka ilipita miez kama 6 ivi bila kupata maumivu ya jino

Chakushangaza siku moja nikiwa nacheza na marafiki zangu mmoja kati yao akanipa muhogo mbichi, bwana weee nikajuta kuzaliwa mara baada ya kuutia mdomoni nakuanza kutafuna.

Daaa nilipata maumivu makali sana ya Jino nikaona niafazari hata ya yale ya awali daaa kilio changuvu kikafuata mpaka nyumbani

Nakwenda chumbani kulala cha ajabu sikuweza kupata usingizi hata kidogo.

Mara nasikia mama ananiita nakuniuliza vipi tena mbona nimeambiwa unalia nikamwambia Jino linaniuma sana basi mama akaniambia polee mwanangu Mungu atasaidia litapoa.

Kwani maneno yalisaidia basi ndo kama yaliongeza maumivu.

Kiufupi siku hiyo sikulala zaidi ya kuwa macho kama mlinzi hadi saa 11 alfajiri ndipo nikasinzia kidogo mpaka asubuh saa 2.

Nilivoamka nikamwambia baba anipeleke hospital wakalitoe Jino lile lilonipa maumivu usiku mzima na baba kweli akaridhia nakunipeleka hospital na wakafanikiwa kunitolea Jino hilo.

Mara baada ya wiki moja nikawa niko fiti nikaendelea kuchapa nyama navingine kwa ufasaha kabisa.

Kwa kufupisha maelezo mpaka sasa nina umri wa miaka 29 na nimebakiwa na Meno 29 daaaa nawatamani nyie wenye meno 32.

Ila endapo wazazi wangu  wangelijua hili mapema ninaloenda kukueleza nami ningekua na meno 32 au 31 dawa ya Jino siyo kung'oa kwani uking'oa mdudu anahamia jino lingine nakuendelea kumeng'enya na kusokota kwelikweli walioumwa watakuwa wanaelewa.

Kwahiyo unachokifanya hapo nikutuliza tu. Kitu bora nikupata dawa inayotuliza maumivu haraka nakuua kabisa mdudu/wadudu hao.

Sasa basi kwa hisani ya WABUNIFU TEAM FOUNDATION leo unaenda jipatia suluhisho.

Nimeona, nakusikia watu wengi sana wakiteseka na maumivu ya Jino na kuamua kwenda hospital kung'oa na mwisho wa siku tatizo hujirudia.

Hivyo mi nitakua namkosea ata Mungu wangu kama sitaweza wasaidia wengine kupata tiba na suluhisho ya changamoto ya maumivu ya Jino.

Kwahiyo nikaona siyo mbaya kuandaa formula iliyonisaidia na kuwasaidia wengine kutokuendelea kupata maumivu ya Jino mara kwa mara.  Nakunipa raha ya maamuzi ya kula na kunywa kwa miaka 5 na zaidi sasa.

Formula hiyo iko kwenye maelezo ya nini kinahitajika na matayarisho yake na nivitu ambavyo vinapatikana ulimwenguni kote.

Na nini uepuke ili usipate tatizo hili linalotesa mithiri ya uchungu  wa kuondolewa kiungo chako bila ganzi.

Hii utatumia mwenyewe, ndugu na jamaa pia hata kizazi chako kitafaidika kwani tayari tiba ya uhakika inakua inaeleweka ndani ya familia.

Hata kama siyo wewe unaeumwa si vibaya kumchukulia mwingine au kuchukua mwenyewe nakujiwekea kama tahadhari.

More Products On Discount
10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,500 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold
7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

10,000 Tsh.

Sold by: Rev. Ipyana Mwakamela

5,000 Tsh.

Sold by: ISIDOR Mbuya

10,000 Tsh.

Sold by: JEGI NIMUKA BASSU

10,000 Tsh.

Sold by: Fabian Isaya