Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kuvunja Vifungo Vya Nafsi Na Laana Za Vizazi Kwa Njia Ya Kitovu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

KUVUNJA VIFUNGO VYA NAFSI NA LAANA ZA VIZAZI KWA NJIA YA KITOVU

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 25, 2025
Product Views:
78
In category:
Sample

"Kuvunja Vifungo vya Nafsi na Laana za Vizazi kwa Njia ya Kitovu" ni kitabu kinachotambulisha mbinu za kiroho zinazokuwezesha kuondokana na vifungo vya nafsi na laana zilizozunguka familia yako kwa vizazi.

Je, unahisi kuna nguvu zisizoonekana zinazorudia matatizo ya familia yako kizazi hadi kizazi, kisha zinazokuzuia kufanikisha maisha yako ya kiroho, kifamilia, au kifedha? Je, kuna maumivu, huzuni au mapambano ya maisha usiyoelewa chanzo chake? Unapambana kiroho lakini haupigi hatua? Kitabu hiki ni kwa ajili yako!


Katika kurasa zake, mwandishi anachambua jinsi mtu anaweza kurithi vifungo vya kiroho kutoka kwa mababu na kuendelea kuviona katika maisha ya sasa kupitia ndoto mbaya, kushindwa kwa ndoa, ugumu wa kifedha, magonjwa sugu, au kukosa furaha ya kiroho.


“Kuvunja Vifungo vya Nafsi na Laana za Vizazi kwa Njia ya Kitovu” kinazungumzia kwa kina namna roho za watu zimefungwa kwa njia zisizoonekana, hasa kupitia kitovu cha uzazi ambacho ni mlango wa maisha na roho. Kitabu hiki kinafunua:


  • Jinsi vifungo vya nafsi hutokea kwa kupitia mahusiano ya kihisia na ya kimwili, hasa kabla au baada ya ndoa.
  • Namna laana za vizazi hupitishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine – kupitia damu, mila, mikataba ya damu au maagano ya kale.
  • Jinsi ya kutambua vifungo vya kurithi na laana au roho za mababu zinavyokuzuia.
  • Njia za kiroho na za maombi za kuvunja minyororo hiyo kupitia nguvu ya Roho Mtakatifu, mamlaka ya Yesu Kristo na ufunuo wa ki-Mungu.
  • Ushuhuda  hai wa watu waliopata uhuru wa kiroho na mafanikio ya maisha baada ya kuvunja vifungo hivyo.

KWA NINI UNUNUE\r\nKITABU HIKI?

  • Kinafunua siri za kiroho ambazo wengi hawazijui.
  • Kinaelekezahatua kwa hatua maombi ya kufungua maisha yako, familia yako, na kizazi chako.
  • Kina ushuhuda halisi wa uponyaji wa kihisia, ndoa, kifamilia, na kifedha.
  • Kitakujengea uelewa wa Kuondoa kila kizuizi kisichoeleweka katika maisha yako
  • Kujua jinsi ya Kuvunja laana, vifungo, na maagano ya kishetani
  • Kinafungua milango ya baraka zako za kiroho, kifamilia, na kifedha

Hivyo basi kitabu hiki ni muhimu kwa:

  • Walewanaotafuta uponyaji wa kiroho na uhuru wa nafsi,
  • Wachungaji, waombezi, na watumishi wa madhabahu wanaoshughulika na maombi ya kufunguliwa,
  • Wazazi wanaotaka kuombea watoto wao tangu wakiwa tumboni,
  • Mtu yeyote anayehisi kuna nguvu zisizoonekana zinazomzuia kufikia kusudi lake la maisha. Ili kuondoa vifungo vya zamani na kujenga msingi mpya wa mafanikio, furaha, na uhuru wa kiroho.

Chukua Hatua Sasa!  Usikubali vifungo visivyoonekana vitawale maisha yako tena. Pata ufunguo wa maisha yako ya kiroho kwa kuvunja vifungo kupitia kitovu – na ushuhudie nguvu ya Mungu ikikufungua kutoka kwa mizizi ya mateso!

Hiki si kitabu cha kawaida — ni silaha ya kiroho kwa yeyote anayetaka uhuru, uponyaji wa undani, na uhusiano mpya na Mungu.

NUNUA SASA kwa kubonyeza neno BUY NOW  na anza safari ya uhuru wa kiroho, uponyaji wa nafsi, na baraka za kizazi chako! kwa kuvunja vifungo vya zamani\r\nvilivyokufunga kwa miaka!

WATU WALIOGUSWA MAISHA YAO KUPITIA KITABU HIKI

  1. Dada mmoja aliyeolewa mara nne, kila ndoa ikivunjika kwa njia ileile – baada ya maombi ya kitovu, aligundua kuna maagano ya kale ya kifamilia yaliyopitishwa kupitia mama yake mzazi.
  2. Kijana aliyeshindwa kila mara anapokaribia mafanikio – alifunguliwa baada ya kugundua kuwa kuna laana ya kifamilia iliyotokana na kafara ya babu yake.
  3. Wanandoa waliokosa watoto kwa miaka mingi – walipofanya maombi ya kuvunja vifungo vya nafsi na kusafisha njia ya kitovu, walibarikiwa na watoto pacha!
  4. Mwanamke mmoja aliyekuwa tasa kwa miaka 12 aliponywa baada ya kufanyiwa maombi maalum ya kuvunja vifungo vilivyotokana na agano la damu la mababu kupitia kitovu.
  5. Mvulana aliyeugua kifafa tangu utotoni alipona baada ya kutambua kuwa alikuwa amefungwa na roho ya ugonjwa iliyorithiwa kutoka kwa babu yake.
  6. Mfanyabiashara aliyefilisika kila mwaka baada ya mafanikio alipata mabadiliko makubwa baada ya kufunga na kuomba juu ya agano lililowekwa juu ya ukoo wake tangu kuzaliwa.
  7. Mwanamke mmoja alipata ndoto ya mara kwa mara akikatwa kitovu na nyoka. Baada ya maombi maalum, aliweza kuvunjika kutoka katika laana ya ndoa zisizodumu iliyokuwa katika familia yao kwa vizazi vitatu.
  8. Kijana aliyekuwa akiota ndoto za ajabu na kukosa kazi kwa miaka mitatu alifunuliwa kuwa na kiunganisho kisicho cha Mungu kupitia kitovu chake. Alipovunja hilo kiroho, alianza kupata mwelekeo na maisha yake yakabadilika.
More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold