Kumwekea Mungu Akiba
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 01, 2023
Product Views:
834
Sample
Kumwekea Mungu Akiba
Ajenda ya kuujenga Ufalme wa Mungu haitakiwi kuwa jambo la dharula, wala kufanya kama chaguo la pili, au jambo la ziada. Linatakiwa kuwa jambo la kimkakati, makusudi na endelevu mpaka Bwana Yesu atakaporudi kulichukua kanisa lake. Kwa mantiki hiyo hakuna njia ya mkato, kwa kazi kubwa na ya thamani iliyo mbele yetu. Ni muhimu kujenga tabia ya kumwekea Mungu akiba kila iitwapo leo na kuitoa kwa kazi ya uujenga Ufalme wake.