Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kwanini Nimezaliwa - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Kwanini Nimezaliwa

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
7,500 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 31, 2023
Product Views:
250
In category:
Sample

IJUE SABABU YA KWANINI UMEZALIWA KWA KUTUMIA KANUNI YA PTW NA SB 72 NDANI YA MASAA 72

NINA KILA KITU ILA SINA FURAHA YA MAISHA

Siku moja mara baada ya kumaliza kufundisha kwenye semina moja hivi . Mzee mmoja alinifuata kisha akaniuliza: Una miaka mingapi Kijana?? . Huku nikiwa nimeduwaa nikamjibu, . Kisha akaniambia licha ya umri Wako kuwa sawa na wa wajukuu zangu,leo umegusa sana moyo wangu,ni kweli watu wengi hatuna furaha ya maisha licha ya kuwa na kila kitu . Mimi Nina elimu kubwa,Nina pesa nyingi,Nina cheo kikubwa Ila sina furaha,kila siku naona kuna kitu hakiko sawa,Naona nimepungukiwa kabisa . Naomba hicho kitabu chako cha KWANINI NIMEZALIWA ili nipate kuitafuta furaha ya kweli,Nimechoka .. Mzee huyu ni mfano kati ya watu wengi sana ambao licha ya kuwa na kila kitu bado hawana furaha ya maisha, bado hawana Amani. Wanaishi na kutenda kama roboti,Ila mioyo yao imejaa maumivu na Majuto kuna kitu mioyo yao imekosa,Japo ukiwatazama kwa nje unaweza kuwaona wanafuraha Sana . Kama na wewe ni mmoja Kati ya watu hao leo nitakupatia zawadi itakayobadili maisha yako,zawadi ya kitabu kinachoitwa


KWANINI NIMEZALIWA??? . KARIBU UJIFUNZE

More Products On Discount
10,000 Tsh. 3,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 7,500 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

15,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Denis Jonas Msangi

10,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
100,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(43.4)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

5,000 Tsh.

Sold by: Counselor David

Old is Gold