
MAOMBI YA ALFAJIRI NA MAPEMA
Mrnoja kati ya mahitaji ya msingi na muhimu katika kanisa la Mungu duniani kote kwa sasa ni kuwapata wanaume na wanawake watakaoweza kusimama na kuhakikisha kuwa mapenzi ya Mungu yanatendeka duniani kama ilivyo mbinguni katika eneo la Maombi. Kitabu hiki hakilengi kwamba Mungu anayataka na anajibu tu maombi ya alfajiri na mapema; Bali mwandishi anaibua siri na nguvu zaidi ambayo imefichika katika majira na wakati huu ili kuweza kufanikisha kuwa na ushirika na Mungu katika eneo la maombi kwa nyakati zote.rnMchungaji Ackimu Mtinege Kaminyoge (Mtinege. A. K) kwa neema aliyokirimiwa na Mungu kwa miaka 15 katika ushirika wake na Mungu kwenye Maombi ya alfajiri na mapema anaibua siri muhimu sana ambazo kwa kusoma kitabu hiki zitakufanya uone umuhimu wa kujenga tabia ya kuwa na maombi ya alfajiri na Mapema katika maisha yako.rnMatukio mengi katika siku unayoiendea ni matokeo ya kile ambacho umekuwa ukiwekeza / ukipanda katika maisha yako ikiwepo kile ambacho ulikipanda katika ulimwengu wa roho kabla ya mapambazuko kwenye siku husika. Mchungaji Mtinege. A. K anaibua siri na namna unavyoweza kushinda zaidi ya kushinda katika mambo yote kwa kutumia maombi ya alfajiri na mapema kabla ya mapambazuko katika maisha yako. rnrnKwa kusoma na kutafakari kitabu hiki, utaweza kugundua na kutambua;rn1. Namna ambavyo maombi ya Alfajiri na Mapema ni msingi wa kumwezesha mtu kuwa na ushirika na Mungu kwa nyakati zote kwa sababu ya ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya unayoipata katika maombi hayo kabla ya mapambazuko ya siku husika.rn2. Namna unavyoweza kuisemesha (kuamuru) mapambuzuko ya asubuhi kwa ajili ya faida ya siku yako unayoiendea.rn3. Namna unavyoweza kutumia maombi ya alfajiri na mapema katika kuweza kukabiliana na changamoto za siku unayoiendea.rn4. Namna unavyoweza kuwanyamazisha na kuwakung’uta waovu au uovu wote uliokusudiwa kwako uweze kukaa mbali na maisha yako katika siku unayoiendea.rn5. Mambo muhimu unayohitaji kuisemesha au kuiamuru siku unayoiendea kabla ya mapambuzuko ya siku husika.rn6. Nafasi na kazi ya maombi ya alfajiri na mapema kama malimbuko ya maisha yako yanachofanya kwenye siku unayoiendea n.k.
“Kwa kweli kitabu hiki ni zaidi yarnkitabu cha kawaida, huu ni mwongozo wa kuundea ukuu uliopangiwa na Mungu.Mojarnya siri kubwa ya watu wakuu waliowahi kupata kuwepo duniani tunaowasoma katikarnMaandiko Matakatifu waligundua siri ya Maombi ya Alfajiri na Mapema.Yesu Mwokozirnwetu aliomba Alfajiri na Mapema (Marko 1:35), Ayubu mtu mkuu wa Mungu katika nchirnya Usi aliomba Alfajiri na Mapema (Ayubu 1:1-5), Daudi mtu mkuu wa Mungurnaliomba Alfajiri na Mapema (Zaburi 57:7-8, 1Petro 5:6-7, Zaburi 5:3), Ibrahimurnalipokuwa akimtoa Isaka kuwa sadaka ya kuteketezwa alimtoa Alfajiri na Mapemarnn.k.Hii inaonyesha kuwa kuna siri kubwa sana kwenye muda wa Alfajiri na Mapema.Je,ungependarnkuwa mtu mkuu kwenye karne hii ya 21 na wakati wote katika maisha yako? Basirnsoma kitabu hiki na chukua hatua za makusudi na utaona mabadiliko chanya katikarnmaisha yako.”
rnrn
Rev.DaimarnAmos Kabogo
PentecostalrnHoliness Mission (PHM)-Voice of Holiness Christian Centre (VHCC), Dodoma
Askofu PHM Jimbornla Kati (Dodoma, Morogoro, Singida na Manyara, Tanzania-2022/2023)
rnrn
rnrn
rnrn
“Mchungaji Ackimu Mtinege Kaminyoge amefunguarnukurasa mpya na wa muhimu sana katika maombi ya alfajiri na mapema. Uandishirnwake umejawa na ujuzi mpana pamoja na uzoefu wa muda wake na Bwana wakati wa alfajirirnna mapema. Maandiko yanatuongoza kuomba katika maisha yetu, Maombi ya Alfajirirnna Mapema yamepewa mkazo wa wazi na hicho ametusaidia kukielewa kwa upana wakernkupitia kitabu hiki. Binafsi nimependa na kupata mwanga mpya katika kazi njemarnya Mchungaji Ackimu Mtinege Kaminyoge kwenye kitabu hiki. Tafadhali kitabu hikirnkisipite mkononi mwako pasipo kukisoma maana utakuwa umepitwa na kupotezarndhahabu ya pekee na ya thamani sana katika maisha yako.”
rnrn
Rev.SyilivesterrnPutaputa
Mchungaji Kiongozi
TanzaniarnAssemblies of God (TAG)
Jerusalem CityrnChristian Centre (JCCC)-Tanga, Tanzania
rnrn
“Mchungaji Ackimu Mtinege Kaminyoge kwa mararnya kwanza nilikutana naye mwaka 2015 katika jiji la Tanga, Tanzania.Tangurnwakati huo amekuwa mtendakazi pamoja na mimi na kama msaidizi wangu wa kariburnkwa zaidi ya miaka kumi (10) mpaka wakati huu anapoandika kitabu hiki. Kitaburnhiki kimekuwa baraka na chachu ya mabadiliko kwangu mimi pamoja na kanisarnninalochunga katika eneo la maombi ya alfajiri na mapema. Tafadhali soma kitaburnhiki kwa kuwa maarifa, ufahamu na hekimarnya Mungu ambayo imeibuliwa katika kitabu hiki juu ya maombi ya alfajiri na mapemarnimejaa upekee usio wa kawaida na wa kulisaidia kanisa la Mungu katikarnkukabiliana na changamoto za kila siku katika kujenga na kustawisha ufalme warnMungu na maisha yetu kwa ujumla hapa duniani.”
rnrn
Rev.KaristirnG. Maliga
PentecostalrnHoliness Mission (PHM)-Bonde la Baraka, Sahare-Tanga, Tanzania
Askofu PHM Jimbornla Kaskazini (Tanga, Kilimanjaro na Arusha, Tanzania-2019/2025)
rnrn