MAOMBI YA REHEMA NA TOBA
Price:
8,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 20, 2024
Product Views:
408
Sample
Hiki ni kitabu pekee na chenye ufunuo wa ajabu. Na kimebeba majibu ya maswali ya watu wengi kuhusu Rehema na Toba.
Mwana wa Mungu elewa kuwa Rehema ni kumwambia Mungu akuhurumie na kukutazama, na Mungu anapokutazama anasubiri umwambie mahitaji yako
Toba ni zaidi ya Neno nisamehe, toba ni maisha, ni hali ya kumkabidhi Mungu roho yako, akili yako, mawazo yako, fikra zako, hiyo ndiyo toba ya kweli.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza