Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mbinu Za Uhakika Za Mauzo Ya Whatsapp - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Mbinu Za Uhakika Za Mauzo Ya WhatsApp

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 02, 2026
Product Views:
13
In category:
Sample

Jifunze mfumo rahisi na unaofanya kazi wa kuuza kwa WhatsApp Business. eBook hii inakupa jumbe tayari kutumia, skripti za mauzo, mbinu za kufuatilia wateja, kanuni za kufunga mauzo na mikakati ya kupata wateja zaidi kupitia WhatsApp na Instagram. Ni mwongozo wa vitendo unaokusaidia kuongeza mauzo na kuboresha mawasiliano na wateja.

Je, unaweka bidhaa kwenye WhatsApp Status lakini wateja wengi wanauliza bei na baadaye wanapotea bila kununua?

\"Mbinu za Uhakika za Mauzo ya WhatsApp\" ni mwongozo wa vitendo ulioundwa kukusaidia kubadilisha mazungumzo ya WhatsApp kuwa mauzo halisi. Utajifunza mbinu zinazotumiwa na wauzaji bora ili kujibu wateja kwa weledi, kujenga uaminifu, kufuatilia bila kubughudhi na kufunga mauzo kwa uhakika.

Ndani ya eBook hii utapata:

  • Jumbe 20 za Auto-Reply zilizo tayari kutumika.
  • Skripti 15 za mauzo zinazoongeza nafasi ya mteja kununua.
  • Mfumo wa Follow-Up unaowarudisha wateja wenye mashaka.
  • Hatua 3 za kufunga mauzo kwa ufanisi.
  • Kanuni muhimu za kuuza kwa WhatsApp Business.
  • Ratiba ya kila siku ya kuongeza mauzo.
  • Mikakati 5 ya kupata wateja kupitia Instagram bila gharama za matangazo.
  • Makosa makubwa yanayopunguza mauzo na jinsi ya kuyaepuka.
  • Karatasi ya marejeo ya haraka kwa matumizi ya kila siku.

eBook hii ninafaa kwa:

  • Wafanyabiashara wadogo na wa kati.
  • Wauzaji wa mtandaoni.
  • Wasambazaji wa bidhaa.
  • Wamiliki wa WhatsApp Business.
  • Wajasiriamali wanaotaka kuongeza mauzo bila kuongeza gharama za matangazo.

Baada ya kusoma utaweza:

  • Kujibu wateja kwa haraka na kwa kujiamini.
  • Kuongeza kiwango cha kufunga mauzo.
  • Kujenga uhusiano mzuri na wateja.
  • Kuongeza mapato kwa kutumia mfumo unaoweza kutekelezwa mara moja.
More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold