Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mfumo Wa Kilimo Wa Kukuangamiza - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

MFUMO WA KILIMO WA KUKUANGAMIZA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
6,000 Tsh.
Insider:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 14, 2026
Product Views:
23
In category:
Sample

Kitabu hiki si mwongozo wa kawaida wa kilimo; ni mwito wa dharura wa kuamsha utambuzi wa mwanadamu kuhusu msingi wa uhai wake. kinapasua giza na kufichua jinsi maendeleo ya kisasa ya kilimo yalivyogeuka kuwa pazia la kuficha maangamizi ya kibaolojia.

MFUMO WA KILIMO WA KUKUANGAMIZA: Utumwa wa kisasa, Mbegu za kifo na Njia ya uhuru. Katika kitabu hiki Mwandishi anachambua kwa kina jinsi mifumo ya kimataifa na ile ya siri ( Matrix) inavyotumia mnyororo wa sumu kuanzia kwenye mbegu za maabara hadi kwenye seli za miili yetu ili kudhibiti utashi wa binadamu kupitia chakula. Kitabu kinakupeleka kwenye safari ya kurejesha mamlaka yako juu ya ardhi, kuitibu ardhi iliyolaaniwa kwa kemikali ,na kulinda vinasaba ( DNA) vya vizazi vijavyo. Nimwongozo wa kurejea kwenye asili ili kupata afya, uhuru wa kiuchumi, na utulivu mkuu wa kiroho.

Kwa miongo kadhaa, tumeaminishwa kuwa mbegu za chotara na mbolea za viwandani ndizo mkombozi wa njaa lakini ukweli ni mchungu: Tumeshikwa shingoni mfumo unaoitwa MATRIX. Kiitabu hiki kinakufungua macho kuona kile ambacho asilimia 90 ya watu wamelala wasikione.

Ndani ya kitabu hiki utajifunza;

1.Siri za matrix: Jinsi familia chache zenye nguvu duniani zinavyodhibiti tumbo lako ili kukutawala kifikra na kiroho.

2. Mbegu za Utumwa: Jinsi mbegu za maabara na GMO zinavyoharibu DNA yako na kukufanya mteja wa kudumu wa makampuni makubwa.

3. Afya ya kiroho: Kuelewa jinsi chakula cha sumu kinavyofifisha jicho lako la ndani ( tezi ya pineal) na kukutenganisha na Muumba wako.

4. Ukombozi wa kiuchumi: Mbinu za kutoroka mtego wa madeni na gharama za hospitali kwa kurejea kwenye  Kilimo Hai na Shirikishi.

Hii ni sehemu ndogo kama 1% ya ufafanuzi wa kitabu hiki mambo mengi zaidi utayapata ndani ya kitabu hiaki. Hiki ni kitabu cha mtu yeyote anayetaka kuishi kwa muda mrefu, mwenye akili angavu, na anayejali mustakabali wa watoto wake. Usikubali kubaki kama mtumwa wa kibaolojia, chukua hatua ya kwanza kuelekea ukombozi wa kweli leo.

Kwa msaada na usaidizi zaidi wasiliana nami kupitia No. 0627521449 Whatsapp na call, au 0796078862 normal call.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
150,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold