MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI
Kitabu cha Michanganuo ya biashara na Ujasiriamali ndani yake kimebeba kila kitu anachohitaji mjasiriamali wa karne ya 21 kutajirika.
Ni kitabu chenye karibu kila mada inayohusika na Biashara na Ujasiriamali kuanzia, Nini maana ya Biashara na Ujasiriamali, jinsi ya kufanya Utafiti wa soko lako la biashara, Jinsi ya kuandaa Michanganuo ya biashara na mifano au sample halisi za michanganuo ya biashara za Kitanzania zaidi ya 10.
Pia kuna course kama vile, namna bora ya kutunza kumbukumbu za biashara, kukokotoa mahesabu na taarifa za kifedha kwenye biashara yako, jinsi ya kutafuta masoko, njia bora za mauzo, Usimamizi kwenye biashara, njia wanazotumia matajiri kutajirika nk.
Ukikinunua ni sawa na kununua vitabu vidogovidogo zaidi ya 10 na hautajutia fedha yako.