MJUE NA KUMTAMBUA ROHO MTAKATIFU
NDANI YA KITABU HIKI UTAJIFUNZA KUHUSU; ROHO MTAKATIFU NI NANI?, HUDUMA TANO KATIKA KANISA, KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU, TUNDA LA ROHO, UBATIZO WA ROHO MTAKATIFU.
Kitabu hiki cha MJUE NArnKUMTAMBUA ROHO MTAKATIFU ni miongoni mwa vitabu vilivyochambua na kuelezea kwarnkina kuhusu ROHO MTAKATIFU hasa kwa kuchanganua kuhusu maana ya ROHO MTAKATIFU,rnutendaji wake, tabia zake pamoja na ubatizo wa ROHO MTAKATIFU.
rnrn
Kupitia kitabu hiki ndugurnmsomaji utaweza kujifunza pia kuhusu HUDUMA TANO KATIKA KANISA kama vile;rnmitume, mwinjilisti, nabii, mchungaji na Mwalimu. Kitabu hiki pia kimeelezearnkuhusu KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU, NINI MAANA YA KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU, TUNDArnLA ROHO pamoja na namna ROHO MTAKATIFU alivyotajwa Katika BIBLIA.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza