MLANGO WA KUINGIA KWENYE AJIRA
Hatua za mafanikio katika soko la ajira: mwongozo wa kuwafikia\\r\\nwaajiri na kuwa na kazi yenye furaha
Ajira za sasa zimekuwa ngumu na za kugombania. Kila kukicha\\r\\nmifumo ya kuajiri wafanyakazi inabadilika na kukatisha tamaa\\r\\nwasaka ajira. Watu wamefanywa kuwa watumwa kwenye suala la\\r\\nKupata kazi, kila kona wasomi wanatembea na bahasha kusaka\\r\\nkazi, wanatoa hongo (rushwa) za kila aina na wanapanga foleni\\r\\nkugombania kazi hivyo hivyo kwa wasiosoma lakini ajira kwao\\r\\nbado ni kitendawili kisicho na jawabu. Msomi hana thamani ndani ya jamii kwa sababu anazidi kupoteza\\r\\nmuda kutafuta kazi bila ya kutatua changamoto zinazomkabili na\\r\\nzinazoikabili jamii yake na kuifanya elimu aliyoipata kuwa\\r\\nhuduma kwa jamii na kuwa chanzo cha kipato kwake. Makosa\\r\\nmakubwa anayoyafanya msaka ajira ni kuingia kwenye ushindani\\r\\nwa soko la ajira pasipo na utambuzi sahihi na uelewa wa soko la\\r\\najira jinsi lilivyo na njia gani zitamsaidia kupata kazi kiurahisi. Msaka ajira kama anahitaji kupata kazi kiurahisi kitabu hiki ndiyo\\r\\nmwongozo bora wa kumsaidia mlango wa kuingia kwenye\\r\\nmfumo wa ajira na kumfanya mmiliki wa cheki namba na\\r\\nkumjengea heshima kubwa. Mtu yeyote anayepambana kutafuta\\r\\nkazi kitabu hiki ni dira na msaada mkubwa sana kwake pale\\r\\natakapofuata mion