NAMNA MWANAMKE ANAVYOWEZA KUZITUMIA NAFASI ZAKE ZA KIROHO KUBADILISHA MAISHA NA NDOA YAKE
Kitabu hiki cha pekee kitakuongeza ufahamu na maarifa kuhusu nafasi sita (6) za kiroho alizopewa mwanamke ili azitumie kubadilisha maisha yake binafsi na ndoa yake
Ndani ya kitabu hiki utajifunza mambo yafuatayo;
- Nafasi sita (6) za kiroho alizopewa mwanamke ili azitumie kuleta matokeo yaliyokusudiwa
- Namna mwanamke anavyopaswa kuzitumia nafasi zake za kiroho
- Ufafanuzi wa kibiblia kuhusu msamaha, talaka na tendo la ndoa
- Mifano ya ki-Biblia kuhusu wanawake waliosimama na walioshindwa kuzitumia nafasi zao
Karibu ununue kitabu hiki kwa kubonyeza sehemu ya ‘Buy now’ ili ujipatie ufahamu na maarifa husika. Aidha kwa kufanya hivyo utakuwa umechangia kazi ya uandishi wa vitabu vingine ambavyo Patrick Sanga anaendelea kuviandika.
Licha ya uandishi wa vitabu, Patrick Sanga ni mwandishi wa masomo ya neno la Mungu na mengine mahususi kuhusu Roho Mtakatifu, vijana, wanawake, ndoa na siku za mwisho nk. Ikiwa utapenda kusoma masomo hayo, tafadhali tembelea blogu za www.sanga.wordpress.com na www.sanga.co.tz
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza