NAMNA YA KUVUTA WATEJA NA KUUZA SANA
JIFUNZE NJIA KABAMBE ZA KUKUWEZESHA KUVUTA WATEJA WENGI NA KUUZA SANA
JIFUNZE NJIA KABAMBE ZA KUKUWEZESHA KUVUTA WATEJA WENGI NA KUUZA SANA. UTAUNGANA NAMI KWAMBA CHANGAMOTO YAKO SIKUWA NA BIDHAA DUKANI AU KUWA NA UWEZO NA KUTOA HUDUMA BORA AU KUWA NA UJUZI, ELIMU AU KIPAJI.
BALI CHANGAMOTO IPO KATIKA KUUZA BIDHAA KWA WINGI NA KUTOA HUDUMA KWA WATU WENGI.PIA CHANGAMOTO IPO KATIKA KUIFANYA ELIMU ULIYONAYO, UJUZI WAKO AU KIPAJI ULICHO NACHO KIKULIPE PESA NYINGI.
HIVYO ELIMU YA KUFAHAMU NAMNA YA KUVUTA WATEJA WENGI NA KUWAUZIA BIDHAA NI UJUZI UNAOUHITAJI SANA LEO HII. NI UJUZI MUHIMU KWAKO KWA USTAWI WA BIASHARA YAKO, KAMA DAMU ILIVYO MUHIMU KWA UHAI WAKO.
NA HIVYO KITABU HIKI KITAKUFANYA UJIFUNZE NAMNA YA KUONGEZA MAUZO.KITABU HIKI NI NYENZO MUHIMU KWAKO ILI UWEZE KUWA TAJIRI. NDANI YA KITABU HIKI UTAJIFUNZA NJIA ZA UHAKIKA ZA KUKUFANYA UWE NA WATEJA WENGI NA WA KUDUMU NA PIA UVUTE WATEJA WAPYA.
HIVYO UTAKUWA MUUZAJI MASHUHURI NA MAHIRI ULIYEFANIKIWA KATIKA SHUGHULI YAKO NA ITAKUPELEKEA KUWA NA UHURU WA KIFEDHA YAANI KUONDOA KABISA HOFU YA KUKOSA FEDHA ZA KUNUNULIA UNACHOTAKA.
UWANJA NI WAKO WA KUZAMA NDANI NA KUJIFUNZA ZAIDI.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza