Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mjasiriamali Ni Mhangaikaji - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

MJASIRIAMALI NI MHANGAIKAJI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
2,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 20, 2021
Product Views:
1,991
In category:
Sample

ZIFAHAMU TABIA ZA MJASILIAMALI ZITAKAZO KUFANYA UFANIKIWE KIMAISHA

Ujasiliamali ni chanzo chako cha kuwa tajiri. Lakini utajiri unakutaka ubadilike ujenge tabia nzuri za kukusaidia kufanya ya msingi ili kupata  manufaa makubwa katika shughuli yako.

Kitabu hiki kimebeba ujuzi wa kipekee utakaokusaidia kuzijua fursa zinazokuzunguka na namna ya kuzitumia .

Pia kitabu hiki kimesheheni tabia muhimu ambazo wewe mjasiliamali  unatakiwa kuwanazo. Kimeongelea kwaundani sana tabia nyingi zinazomuboresha mjasiliamali. kwa asili ya mjasiliamali anatakiwa kuwa na sifa nyingi zikiwa pamoja na  kuwa imara, jasiri, mbunifu na mwenye uelewa mpanaa. Kwa hiyo kitabu hiki kitakufanya utoe  maamuzi ya kimafanikio, utajenga tabia ambazo zinanguvu ya kukusogeza mbele  mtazamo wako wa akili utabadilika.

Pia utajifunza  kuwa kutengeneza baadhi ya bidhaa ni rahisi na hivyo utaufungua moyo wako na akili yako, utahamasika kujifnza kwa vitendo namna ya kutengeneza bidhaa unazozitaka.

Kitabu hiki ni tafiki yako mwenza unayeweza kuongea naye wakati wote. Utaboreka ajabu hautakuwa ulivyokuwa mwanzo kabla ya kusoma Kitabu hiki

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.
(0.6)

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold