Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nguvu Ya Maono Kwa Mwanadamu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Nguvu Ya Maono Kwa Mwanadamu

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 19, 2024
Product Views:
94
In category:
Sample

Huwezi Kufanikiwa Kimaisha Kama Utakosa Maono Kuhusu Kesho Yako Ijayo...


Hivi unajua kwamba zaidi ya asilimia 80 ya watanzania wanapambana sana katika kubadili maisha yao lakini jitihada zao zinagonga mwamba na kujikuta wakishindwa kupiga hatua kimaisha? 

Hili ndilo tatizo unalokumbana nalo, kwa maana mbali na kupambana sana huoni matunda yanayotokana na juhudi zako unazozifanya… 

Yamkini umeajiriwa aidha kwenye taasisi binafsi au serikalini lakini kila ukipokea mshahara wako unaishia kutumika wote. 

Matokeo yake unabakia kapuku na madeni juu, na huna chanzo kingine cha kukutengenezea mapato, na hata ukijaribu kuweka akiba kidogo kidogo inashindikana kwa sababu kipato chako ni cha chini…

Na pengine labda unatamani sana ungebadilisha hata kazi au ungeongezewa mshahara, lakini kila kunapokucha ni afadhali ya jana. Na ndiyo kwanza mambo yanazidi kuwa magumu… 

Yamkini umefungua hadi biashara yako ili ujikwamue kiuchumi cha ajabu huoni maendeleo yoyote yale mbali na kuwa unafanya mauzo! 

Huenda ukawa unapitia manyanyaso, dharau, dhihaka pamoja na mateso mengi sana mbali na kuwa una elimu yako ya maana tu na kila unachokifanya kinakwenda kinyume na matarajio yako! 

Naam natambua ni jinsi gani hali hiyo inavyokuumiza na kukutesa! 

Hii inamaanisha kwamba kadri siku zinavyozidi kwenda mbele ndivyo na mambo katika maisha yako yanavyozidi kuharibika zaidi!

Hebu jaribu kuvuta picha endapo hiyo hali uliyonayo leo ikaendelea kubaki hivyo hivyo maisha yako yote… 

Hapa ina maana kwamba, kila siku, kila mwezi na kila mwaka utakuwa ukifanya mapambano lakini hakuna matunda yoyote yale utakayoyapata yanayotokana na juhudi zako… 

Ni bahati kubwa sana kwako ya kwamba, umekutana na njia inayoenda kutatua tatizo lako lililokutesa kwa muda mrefu, nayo si nyingine bali ni kitabu kinachoitwa; “Nguvu Ya Maono Kwa Mwanadamu; Mwongozo Wa Kuyafikia Maono Yako.” 

Kitabu hiki kimebeba maudhui ya jumla kuhusu namna unavyoweza kuyatumia maono uliyoyabeba ndani ya nafsi yako ili uweze kubadilisha maisha yako pamoja na kujikwamua kiuchumi. 

Hii inamaanisha kwamba, utaweza kujimudu na kufurahia maisha yako kwa maana utafanikiwa kifedha.

Ukweli ni kwamba, watu wengi ni matajiri lakini hubaki kuwa maskini maisha yao yote kwa sababu ya kushindwa kuona yale maono waliyoyabeba ambayo wanatakiwa wayatumie ili warahisishe maisha yao na maisha ya watu wengine. 

Endapo utafanikiwa kugundua maono yako maana yake utaweza kutengeneza fedha kirahisi zaidi kupitia kurahisisha maisha ya watu wengine! Hii inamaanisha kwamba utaishi maisha ya ndoto zako!  

Ndugu, wewe ni tajiri na ndani yako umebeba mgodi wenye thamani kubwa mno ambao endapo utaugundua utafanikiwa kubadili historia ya maisha yako, nawe hutapitia tena hizo hali tata unazopitia sasa. 

Inamaanisha kwamba utaishi kwa uhuru zaidi huku ukifanya kile unachopenda kufanya yaani kile ulichoumbwa  ili uje ukifanye hapa duniani! 

Kwa hivi huna budi, ujipatie kitabu hiki, ili uchimbe huo mgodi wa thamani uliolala ndani yako, kwa kugundua maono yako, nawe uepuke kuwa mtumwa wa hiari wa kufanya kazi za watu ili ulipwe mshahara…

More Products On Discount
5,000 Tsh. 2,500 Tsh.

Sold by: Joyce Mwakajonga

3,999 Tsh. 1,999 Tsh.

Sold by: Daudi Lubeleje

25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

5,000 Tsh. 1,000 Tsh.

Sold by: RAMV MRUMA

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Martin Tindwa

Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
Old is Gold