BATIKI AINA YA SAMBUSA
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 22, 2020
Product Views:
7,173
Sample
Watch Sample
Jinsi ya kutengeneza BATIKI (SAMBUSA)
Jifunze jinsi ya kutengeneza batiki ya Tye and dye aina ya SAMBUSA.
Ndani ya video hii utajifunza yafuatayo;
- Jinsi ya kukunja mkunjo wa sambusa
- Jinsi ya kuchanganya materials
- Jinsi ya kuchanganya rangi
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza