Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nguvu Ya Meditation - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Nguvu Ya Meditation

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
20,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 10, 2026
Product Views:
7
In category:
Sample

Nguvu Ya Meditation

Kwa heshima ya tafakari za kina kuhusu nguvu ya akili na utulivu wa ndani Katika dunia ya leo yenye haraka, kelele, na msongo usioisha wa mawazo, mwanadamu ameanza kupoteza kitu muhimu kuliko vyote, utulivu wa ndani. Kupitia kitabu hiki, Prof. Hery Sanga (PhD) amenuia kuirudisha akili ya mwanadamu kwenye hali yake ya asili: utulivu, uwazi, na ufahamu wa ndani. Hiki si kitabu cha kusoma tu, bali ni mwaliko wa kujitazama upya, kujisikiliza kwa kina, na kugundua nguvu iliyojificha ndani ya nafsi ya mwanadamu. “Akili iliyotulia inaona mbali kuliko macho.” Prof. Hery Sanga “Ninaamini maudhui yaliyomo humu yatawagusa wengi wanaopambana na msongo wa mawazo, kuchoka kiakili, na kupoteza mwelekeo wa maisha katika dunia ya kisasa.” Justine Bake. Mwandishi wa vitabu vya nguvu ya akili na maendeleo binafsi.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold