OKELLO NA AGABA WAZUA BALAA SOKONI NAKASERO
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 04, 2024
Product Views:
219
Sample
OKELLO NA AGABA WAZUA BALAA SOKONI NAKASERO
Hadithi ya Okello na Agaba Wazua Balaa Sokoni Nakasero ni miongoni mwa mfululizo wa hadithi fupi za watoto. Utundu wa Okello na rafiki yake Agaba ndiyo burudani yenyewe. Kwa uhakika ukianza kusoma hadithi hii itakuwa vigumu kuweka kitabu chini hadi ufike tamati/ mwisho kwasababu ya visa na matukio ya kusisimua na kuburudisha kama hii hapa chini Ukisoma hadithi hii kwa utulivu na umakini, utapata kujifunza maarifa mengi yaliyojificha katika utundu wa watoto na tabia za baadhi ya watu wazima. Tafadhali, usikose kusoma vitabu vyenye hadithi ya OKELLO NA AGABA... ili uwe mtu mwenye tabia nzuri inayoleta furaha tele na faraja nyingi!