RUHUSU MAPENZI YA MUNGU YATIMIE KUHUSU MWENZA WA MAISHA YAKO
Kitabu hiki kitakuongeza ufahamu na maarifa kuhusu kuzingatia mapenzi ya Mungu katika suala zima la kumpata mwenza wa maisha yako ili uweze kulitumikia vema kusudi la Mungu na usiishie mahala pa majuto.
Ndani ya kitabu hiki utajifunza mambo yafuatayo;
- Kwamba ni kusudi la Mungu uoe au kuolewa sawasawa na\r\nmapenzi yake
- Nafasi ya Mungu katika kukupa mwenza wa maisha
- Nafasi ya mwenza wako katika kulitumikia kusudi la Mungu maishani mwako
- Utajifunza uhalisia wa jambo hili kupitia mfano wa Yakobo, Hosea na Samweli
Karibu ununue kitabu hiki kwa kubonyeza sehemu ya ‘Buy now’ ili ujipatie ufahamu na maarifa husika. Pia kwa kufanya hivyo utakuwa umechangia kazi ya uandishi wa vitabu vingine ambavyo Patrick Sanga anaendelea kuviandika.
Licha ya uandishi wa vitabu, Patrick Sanga ni mwandishi wa masomo ya neno la Mungu na mengine mahususi kuhusu Roho Mtakatifu, vijana, wanawake, ndoa na siku za mwisho nk. Ikiwa utapenda kusoma masomo hayo, tafadhali tembelea blogu za www.sanga.wordpress.com na www.sanga.co.tz
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Godius Rweyongeza
Sold by: Lackson Tungaraza