
SITAKUWA MFUNGWA WA YALIYOPITA KUELEKEA HATIMA YANGU
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 25, 2025
Product Views:
40
Sample
"Sitakuwa mfungwa wa YALIYOPITA KUELEKEA HATIMA YANGU"
Ni kitabu kinachotoa mwongozo wa maisha ya kutoka kifungoni, mwa YALIYOPITA na Sasa kusonga mbele. Ni uhalisia kuwa katika Dunia ya Sasa watu wengi wanaishi kwa kufungwa na YALIYOPITA, Hali inayopelekea kushindwa kufanya vizuri kwa yale ya HATIMA yao. Kauli ya kichwa Cha kitabu hiki ni kukiri ushindi wa kusonga mbele tena , na kufanya vizuri zaidi