UFAHAMU KUHUSU NYAKATI ZA HATARI KATIKA SIKU HIZI ZA MWISHO
Ufahamu kuhusu nyakati za hatari ni kitabu ambacho kitakuongeza ufahamu na maarifa ya pekee kuhusu nyakati za hatari zilizopo na zinazokuja kwa mtazamo wa Biblia na hivyo kukuandaa namna ya kuzikabili.
Ndani ya kitabu hiki utajifunza mambo yafuatayo;
- Biblia inaeleza nini kuhusu nyakati za hatari;
- Mambo yaliyofichwa ndani ya nyakati za hatari ambayo yatatokea;
- Kurudi kwa Yesu kulichukua kanisa kumekaribia, je umejiaandaje kwa tukio la unyakuo? na namna ya kufanya maandalizi
- Mambo ambayo watoto wa Mungu wanapaswa kujua na kufanya katika siku hizi za mwisho
Karibu ununue kitabu hiki ujipatie maarifa husika lakini pia kwa sadaka hiyo utakuwa umechangia huduma ya uandishi wa vitabu vingine vya kiroho ambavyo Patrick Sanga anaendelea kuviandika. Licha ya uandishi wa vitabu, Sanga ni mwandishi wa masomo mbalimbali ya neno la Mungu na mengine mahususi kuhusu Roho Mtakatifu, vijana, wanawake, ndoa na siku za mwisho. Ikiwa utapenda kusoma masomo husika, tafadhali tembelea blogu za www.sanga.wordpress.com na www.sanga.co.tz
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Godius Rweyongeza
Sold by: Godfrey Ngaleya