Best Seller
USIKIMBIE CHANGAMOTO
Price:
2,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 07, 2021
Product Views:
3,684
Sample
ZIKABILI UTAZISHINDA
Katika maisha tunapitia nyakati mbalimbali ambazo hutupelekea kuyatazama na kuyafikiria maisha kwa namna tofautitofauti. Nyakati ambazo watu huzipitia hupelekea watu mbali mbali kuwa na maoni mbalimbali juu ya Maisha hata kuwapelekea kuchukua maamuzi mazuri au mabaya kulingana na mitazamo wanayokuwa nayo wakati wakiwa ndani ya changamoto.
Katika kitabu hiki tunaangalia mambo yanayoweza kumsaidia mtu anayepitia changamoto kwa namna moja ama nyingine ili aweze kuvuka na kubaki salama.