Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Yafanye Mambo Haya Uwapo Kijana - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

YAFANYE MAMBO HAYA UWAPO KIJANA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
8,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 04, 2024
Product Views:
282
In category:
Sample

Maisha yako ya uzeeni yanaamliwa Na yanategemea Sana Aina ya maamuzi unayofanya Na Aina ya Maisha unayoishi katika Ujana wako!

Machozi ya huzuni yanatoka katika macho ya watu wazima na wazee japo kuna wale ambao hawalii ila wanajutia sana mioyoni mwao, kwa sababu wapo wanalipa gharama za kitaaluma, kimahusiano, kiuchumi nakadhalika, ambazo zilitokana na kukosa maono au kutokujua walipaswa kufanya nini katika ujana wao lakini pia gharama zingine wanalipa kutokana na maamuzi waliyoyafanya miaka mingi iliyopita wakiwa vijana. Ambapo huenda kwa wakati ule Yalionekana kuwa ni maamuzi mazuri mno ila leo wanajutia.

Swali ni je, hawa vijana wa sasa wanafahamu umuhimu wa kujua maono yao au umuhimu wa maamuzi  wanayoyafanya leo na ni kwa namna gani maamuzi hayo yataathiri maisha yao ya baadae?

Karibu usome kitabu Hiki ambacho nimeonyesha mambo muhimu 7 unayopaswa kuyafanya ukiwa KIJANA! 

Kumbuka "Miaka 20 baada ya Leo utajilaumu Zaidi Kwa mambo ambayo hukuyafanya Kuliko Yale ambayo uliyafanya"

More Products On Discount
25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

10,000 Tsh. 6,000 Tsh.

Sold by: Nelson Ebong

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

3,999 Tsh. 1,999 Tsh.

Sold by: Daudi Lubeleje

Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
Old is Gold